iqna

IQNA

ash shura
Sura za Qur'ani Tukufu /42
TEHRAN (IQNA) – Zimetajwa sifa nyingi kwa waumini, na kila moja ya sifa hizo ina umuhimu wake. Mojawapo ya sifa za waumini ni kushauriana na wengine, jambo ambalo linaonekana kuwa na umuhimu maalum kwa sababu Sura moja ya Qur'ani Tukufu imepewa jina hilo.
Habari ID: 3476149    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26